Hadithi nzuri za kusisimua

2020-01-27 13:18

Hadithi za kwetu, ni mchanganyiko wa hadithi za mapenzi na matukio mbalimbali ya kijamii hapa Tanzania, Mtakuwa mkipata hadithi kila siku katka Blog hii ya Hadithi za kwetu. Yako mambo mengi ya kujifunza katika Blog hii, ambayo jamii, itaweza kujifunza kutokana na matukio mengi, yanayotokea kila siku kwenye jamii. Nina imani, tutakuwa pamoja na kujenga ushirikiano, katika kufanikisha kilaApr 20, 2014  1st year nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita Bestfriend nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu, lakini yeye hakuwa akitamani hilo na n ilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture, alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hadithi nzuri za kusisimua

Maisha magumu ya changamoto ya mke na mme Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa hata kutembea.

HADITHI ZA KUSISIMUA; HADITHI ZA KUSISIMUA Mtunzi: Godwill, hali haikuwai nzuri sana kwa upande mkewe na mzee John kwani alitokwa na damu nyingi sana wakati wa kujifungua hali iliyomfanya Dr. Martin awaambie madaktari wenzake doctors her condition is get worse she bleed a lot baada ya kauli hiyo daktari akamwagiza nesi ampeleke Feb 09, 2019 NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA 1: Ilikuwa kwenye mida ya saa mbili usiku wakati tumekaaa kwaajili ya chakula cha usiku. Wakati nakula simu yangu ikaita kuangalia mpigaji ni mpenzi wangu Sam ila nikashindwa kunyanyuka kwenda kupokea kwani mama alikuwa ananiangalia sana ikabidi nibonyeze kitufye cha kimya (silence). hadithi nzuri za kusisimua Aug 16, 2012 Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamume yeyote. Nilihisi kutetemeka kwani labda PJ anafikiri mimi nimeshawahi kuwa na mwanamume na hivyo atatarajia nimwonyeshe vitu vya nguvu kitandani. Itakuwaje basi nikiboronga? Nikatamani siku za zamani ambapo mabinti walikuwa wanakwenda unyago na kufunzwa na kufundwa! ! Sijui nianzie wapi, nilijiwazia.

Oct 24, 2019  Umefanya kazi nzuri sana. Hata kama huyo mtu hatujampata, lakini ile kugundua kuwa anafahamika na watu, ni matokeo mazuri. HADITHI YA KUSISIMUA: Nilikiona Kilichomtoa Kanga Magoya 01 ILIPOISHIA: Bado nilikuwa nazikumbuka namba za siri nilizotumia kukifunga, macho yangu yakatua juu ya kitu kilichosababisha nitabasamu! Siyo hadithi nzuri za kusisimua

Rating: 4.31 / Views: 860